Nahitaji vifaa vya saloon ya kike

Mahabuba

Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
34
Reaction score
5
Habari wakubwa, nahitaji vifaa vya saloon ya kike kama blower dryer, pasi ya nywele na vitu vidogo vidogo mwenye navyo tuwasiliane 0769206292.
 
hivyo vitu vidogo vidogo ni kama nini?nijuze naweza kukusaidia
 
Mkuu ni kitu chochote kinachohusiana na saloon ya kike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…