Nahitaji vifaa kwa ajili ya Biashara ya Saluni

Barraza

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
481
Reaction score
270
Kama kuna mtu mwenye vifaa kwa ajili ya Saluni ya kiume na anaviuza kwa bei poa tuwasiliane.
Ninataka kununua Viti, Mashine za kunyolea, Makochi, pamoja na vifaa vinginevyo vinavyohitajika kwa ajili ya kuanzisha hii biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…