Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Wapendwa naomba kama kuna mtu mwenye ufahamu wapi naweza pata CD,VHS,VCD au DVD za mambo ya watoto anifahamishe ..
Mwanangu anacatch vitu mapema mno na akishika hasahu sasa kabla hajaanza kuangalia akina Dimondo,Wema na Omy Dimpoz ningependa kumpa mapenzi ya kuanza kujifunza vitu vingi vya dunia mapema ana miaka minne anajua kuhesabu na kuataja herufi zote kwa kuimba na kwahara hata ukimuanzishaia katikati yeye anakwambia umeruka.
Rafadhalini nisaidieni.
Iwapo una kauwezo mnunulie apple desktop computer ina mambo mengi yatakayo mfaa na kumsaidia mtoto wako.Au tembelea www.children brain maker corner.com
Mkuu nadhani makao makuu ya cdm pale kinondoni utapata,ni juzi tu hapa wametangaza kama wanamitambo kama hiyo kama sijakosea,sindio walitumia kurekodia ule mkutano wa Arusha au sio kamanda?
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDWapendwa naomba kama kuna mtu mwenye ufahamu wapi naweza pata CD,VHS,VCD au DVD za mambo ya watoto anifahamishe ..