injinia mganga
Member
- Oct 13, 2016
- 94
- 21
Anataka kuwa mwalimu wa MathematicsNdoto zake anataka kuwa nani tuanze hapo
Mkuu akirudia peper anaweza pangiwa government high schoolKama ananamba ya mtihani anaweza rudia mtihani cheti kitaupdated then atapata cheti kingine na matokeo mapya ya yale masomo aliyorudia
Credit anayo ila comb ndio hana na anahitaji kusoma shule ya gvt high kulingana na hali halisi ya nyumbaniMkuu hapo arudie mtihan alafu apate credit apply shule za private tu hamna namna..
Hawezi rudia f2Form two anaanza upya ayo matokeo ya sasa hayataisabiwa kama akifaulu au akifeli
Hawezi rudia f3not2Hawezi rudia f2