Nahitaji used laptop

Masika

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
723
Reaction score
30
Habari wandugu wa Jf
Nina hitaji used laptop kwa ajili ya matumizi ya nyumbani iwe angalau pentium iv na kuendelea HD iwe japo 90GB
RAM angalau 1GB NA KUENDELEA: MENGINEYO:- iwe katika hali nzuri
BAJETI YANGU NI HADI Tsh 4K
Niko dsm,kama unayo ni sms 0787883059 au rusha PM
 
nicheki 0713388226
 
kwenye red vipi???

 
Ndugu yangu "K" nafikiri ni 1,000 (kipimo cha metriki)! Kwa hiyo 4K ni 4,000.(nipo radhi kusahihishwa)
 
Ndugu yangu "K" nafikiri ni 1,000 (kipimo cha metriki)! Kwa hiyo 4K ni 4,000.(nipo radhi kusahihishwa)


kaka hizi ni lugha za kitaa tu sina maana hiyooo
 
Mitaaa ipi hiyo mkuu?K kwa njiuavyo hata mimi kama walivyosema ni 1,000
Mtaani ukisema kilo 1 ina maana ya laki 1. btw, laptop imepatikana?
Kwa hiyo 4K ilibidi iwe 4,000.
Ninao hiyo laptop lakini haina guarantee tatizo lake kubwa ni kuwa inatumia external mouse. Kama hujapata ni PM?Tuongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…