Habari za mchana wadau natumaini mpo poa... jaman naitaji king'amuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 0658038038... niko Dar

Mm nilisha wai kununua mkononi nlitumia miezi 3 tu kikafungwa,kumbe kingamuzi kilikuwa cha magumashi mwenye kingamuzi alienda Azam kuripoti waka kiblock mpaka leo kimekaa tu home kina jaa vumbi