kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,207 Reaction score 7,364 Nov 25, 2017 #1 Nisaidieni nipate gari Nahitaji Toyota IST yenye rangi kijivu au nyeupe, namba D na iwe katika hali nzuri: low mileage, tairi nzima, haidaiwi, haijapata ajali na haijarudiwa rangi. Bei ISIYOZIDI 6.8m. Mawasiliano PM
Nisaidieni nipate gari Nahitaji Toyota IST yenye rangi kijivu au nyeupe, namba D na iwe katika hali nzuri: low mileage, tairi nzima, haidaiwi, haijapata ajali na haijarudiwa rangi. Bei ISIYOZIDI 6.8m. Mawasiliano PM