jamani endeleeni kutuma txt,wengi wamejaribu kunitumia txt lakini mnantajia bei kubwa kuliko hata wanavyouza madukani.....By the way nimekwisha fanya window shopping tayari so ninaifahamu bei ya duka...mimi nataka BEI YA MKONONI!
Kama wewe una phantom a+ na umetumia siku chache na unaweza kuiuza nicheki hapa kwa 0712279177 niko D'slaam
nitanunua simu ambayo haijatumika muda mrefu na kwa ofa ya bei ya chini kuliko wengine...