Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Ofa Yako shilling ngapi mkuu?Habari zenu.
Ndugu zangu yoyote aliye na Series ya Game of Thrones Season 1-8 HD naomba nitakulipa. Nipo Dsm
Uko sehmu gani dsm
Ingia insta kuna jamaa anajiita FAHAMU MOVIES anafanya biashara ya movies na series.Wasiliana nae ukachukue mzigo huo wa Winter is coming to House Frey
Ofa Yako shilling ngapi mkuu?
Na kuna chuma kingine kinakuja Jumapili hii kinaitwa HOUSE OF THE DRAGON ni Prequel ya Game of thronesShukran mkuu maana niko likizo acha niwe nasafisha macho
Na kuna chuma kingine kinakuja Jumapili hii kinaitwa HOUSE OF THE DRAGON ni Prequel ya Game of thrones
Noma Sana Mzee. Tukutane Jumapili.Hii nimeona matangazo yake. Itakua kali
Niko macho navosubiriaNa kuna chuma kingine kinakuja Jumapili hii kinaitwa HOUSE OF THE DRAGON ni Prequel ya Game of thrones
Kama una bando la kutosha nipe no yko nikuteremshie mzigo wote
Share sasa. Size gani in total niitafutie External.Hahaha mkuu ahsante sana nilipata
Share sasa. Size gani in total niitafutie External.
Aisee 🤣🙌🙌Ni series kali kwa kweli. Ndio nipo season ya 5. Kwa anayeibeza ile labda lugha iwe kikwazo. Hatari sana!