Habari za sikukuu ndugu zangu. Nahitaji radio ya gari kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Iwe katika hali nzuri. Bajeti yangu ni laki 1 mpaka laki 1 na 50.
Habari za sikukuu ndugu zangu.
Nahitaji radio ya gari kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Iwe katika hali nzuri.
Bajeti yangu ni laki 1 mpaka laki 1 na 50.