Nahitaji nyumba ya kupanga Moshi mjini

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
3,032
Reaction score
8,383
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya moshi mjini soweto,majengo,pasua,etc.Iwe ya kuanzia vyumba viwili na kuendelea na angalau kimoja kiwe master bedroom na jiko na sebule.

Iwe na fence/ukuta na iwe sehemu nzuri kiusalama. Budget yangu ni 150,000-180,000 per month. Nataka kuhamia march mwanzoni.

Asanteni.

Mawasiliano yangu ni 0754327452.
 
Mkuu kwa bajeti yako, hakuna jinsi tafuta nje ya mji,
Kuanzia moshi mjini hadi shule ya wasichana ya Weruweru au Kuanzia Moshi mjini kuelekea Himo
wasiliana na hawa watakusaidia.

+255-754-320-513

+255-786-725-734
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…