Wakuu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nahitaji nyumba maeneo ya Sinza au Mwenge pango miezi miwili tu iwe kuanzia laki moja had laki Tatu, Sina hela ya Dalali hapa moja kwa moja ni wale wenye nyumba.
Hali hii ya Criss ya covid -19 nalipa miezi miwili tu kwanza please mwenye nyumba na maeneo hayo anisaidie ninayo ya miez miwili tu kati ya laki moja had laki Tatu tu.