Mimi ni Kijana wa kiume mwenye sifa hizi
Umri Miaka 28
Urefu wangu Futi 6 nchi 7
Uzito Kilo 77
Rangi Maji ya Kunde
Dini Mkristo
Kazi: Electrical Engineer
Natafuta Mwanamke
Umri usiwe zaidi ya 27
Elimu isiwe zaidi ya Degree
Asiwe Mfupi ase
Kabila lolote
Dini yoyote.
Kama Upo serious Njoo Inbox