Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye umri wa miaka ishirini ya mwanzo (early 20's), nahitaji mwanamke wa kuishi naye na Mwenyezi Mungu akijaalia kuishi kama mke na mume hapo baadaye.
- Binafsi nimejiajiri na kuwaajiri wengine, mrefu, maji ya kunde, naishi Dar -es-Salaam, ingawa nina makazi mengine mbali na Dar.
Nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo;
-Awe chotara (shombeshombe).
Kabila lolote sichagui.
Awe na umri Kuanzia miaka 18-33.
Awe msikivu na mcheshi.
Awe hajazalishwa na hata akiwa na mtoto (single maza), asinifiche aniweke wazi.