Njoo tukutoeHabari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.
Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali kama kuangalia ndani ya maji kumiminiwa maji kwenye jicho na kuangalia kama kitaonekana lakini wapi.
Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu
Kwa mtu yoyote mwenye anajua nitumie njia gani kutoa ichi kitu maana nimeomba watu wakiangalie akionekani ila kinanisumbua sana sorry kwa uandishi siwezi hata kuandika kwa raha kabisa.
Kwanza Pole pili usipende kuchukulia vitu simple ishu ya jicho ni very Sensitive....... ngoja nifupishe kama kuna uwezekano Leo usilale nenda kituo cha afya ujue tatizo nini ...vipofu wengi walianza kama wew ... kuna story ya kusikitisha ya rafikiyangu yaliyo mkuta ....wahi kituo cha afya ujue tatizoHabari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.
Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali kama kuangalia ndani ya maji kumiminiwa maji kwenye jicho na kuangalia kama kitaonekana lakini wapi.
Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu
Kwa mtu yoyote mwenye anajua nitumie njia gani kutoa ichi kitu maana nimeomba watu wakiangalie akionekani ila kinanisumbua sana sorry kwa uandishi siwezi hata kuandika kwa raha kabisa.
Nenda hospital acha kucheza na macho hayana spea.
Jaza maji kwenye ndoo,Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.
Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali kama kuangalia ndani ya maji kumiminiwa maji kwenye jicho na kuangalia kama kitaonekana lakini wapi.
Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu
Kwa mtu yoyote mwenye anajua nitumie njia gani kutoa ichi kitu maana nimeomba watu wakiangalie akionekani ila kinanisumbua sana sorry kwa uandishi siwezi hata kuandika kwa raha kabisa.
Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu
Pole sana.Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.
Sasa hii hali sio ya kawaida nilivyoamka Asubuhi nimekuta ile hali bado ipo jicho linatoa machozi tu nimejaribu njia mbali mbali kama kuangalia ndani ya maji kumiminiwa maji kwenye jicho na kuangalia kama kitaonekana lakini wapi.
Naitaji msahada naisi leo sitalala usiku kabisa kesho naona nikiamka na hii hali nabidi niwai hospital tu
Kwa mtu yoyote mwenye anajua nitumie njia gani kutoa ichi kitu maana nimeomba watu wakiangalie akionekani ila kinanisumbua sana sorry kwa uandishi siwezi hata kuandika kwa raha kabisa.
[emoji22][emoji22]usiniambie mkuu.Kwanza Pole pili usipende kuchukulia vitu simple ishu ya jicho ni very Sensitive....... ngoja nifupishe kama kuna uwezekano Leo usilale nenda kituo cha afya ujue tatizo nini ...vipofu wengi walianza kama wew ... kuna story ya kusikitisha ya rafikiyangu yaliyo mkuta ....wahi kituo cha afya ujue tatizo
JICHO JICHO, au jicho mkuu?🤔🤔umeoa,kama jibu ndio mwombe mwenzako akunyonye jicho