Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke umri 38 na kuendelea . Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na mtoto mmoja ni vizuri. Uwe unaishi mikoa ya iringa, mbeya na njombe kabila lolote ili iwe rahisi kuonana . Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante