He yaani ukope 1000000 riba laki tano acheni kutake advantage na shida za watu...
Mie nina shida ya milioni 30 mwenye nazo anikopeshe nitamlipa within three years bila riba lakini lols😊😊😊😊😊😊😆uwezo wangu ni kulipa milioni moja kila mwezi sio zaidi ya hapo.
..