Duh utadhani unachagua samaki, nataka sato mkubwa, mwenye mkia mdogo awe anataga...
kila laheri shemeji.

halafu hiyo sifa asiwe na mtoto kairudi mara mbili.

sifa:
umri kuanzia 25-35
elimu kuazia kidato cha nne
dini mkristo
asiwe na kazi ya kuajiliwa,awe amejiajiri
awe tayari kuishi mkoa wowote wakati wowote.
asiwe na mtoto.
awe na tabia njema,awe msafi,anayejua kupika,mwenye upendo,mcheshi na mkarimu.
asiwe bonge wala asiwe mwembamba,awe wa wastani
asiwe mfupi
awe mbunifu na mchapa kazi
aliye tayari tuwasiliane:kwa pm.