qmansome Senior Member Joined Sep 25, 2015 Posts 108 Reaction score 44 Sep 21, 2017 Thread starter #21 Doubleg Mwamasangula said: Hiyo 60 kuanzia arusha mjini au popote ndani ya mkoa wa arusha kwa maana ya karatu n.k maana ndo kwenye mbaazi mkuu na si mjini Click to expand... Hapo nichek nikupe contact yk muwasiliane nae na mnaweza Ku negotiate
Doubleg Mwamasangula said: Hiyo 60 kuanzia arusha mjini au popote ndani ya mkoa wa arusha kwa maana ya karatu n.k maana ndo kwenye mbaazi mkuu na si mjini Click to expand... Hapo nichek nikupe contact yk muwasiliane nae na mnaweza Ku negotiate
Chausiku siyo Chamchana JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 379 Reaction score 231 Sep 21, 2017 #22 qmansome said: Nahitaji mbaazi za Arusha , nanua kilo 600 Click to expand... Kuna tofauti gani kati ya mbaazi za Arusha na mbaazi za mikoa mingine kama Morogoro?
qmansome said: Nahitaji mbaazi za Arusha , nanua kilo 600 Click to expand... Kuna tofauti gani kati ya mbaazi za Arusha na mbaazi za mikoa mingine kama Morogoro?
Chausiku siyo Chamchana JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 379 Reaction score 231 Sep 21, 2017 #23 Doubleg Mwamasangula said: Zile za Lindi na arusha zimetofautiana boss Zile za arusha wanaziita grade 1 Click to expand... Tifauti yake inaletwa na nini, mbegu au mazingira tu? Msaada tafadhari...
Doubleg Mwamasangula said: Zile za Lindi na arusha zimetofautiana boss Zile za arusha wanaziita grade 1 Click to expand... Tifauti yake inaletwa na nini, mbegu au mazingira tu? Msaada tafadhari...
qmansome Senior Member Joined Sep 25, 2015 Posts 108 Reaction score 44 Sep 21, 2017 Thread starter #24 Chausiku siyo Chamchana said: Tifauti yake inaletwa na nini, mbegu au mazingira tu? Msaada tafadhari... Click to expand... Grade ya Arusha iko tofaut na mikoa nyingine nafkir inachangiwa na Hali ya hewa
Chausiku siyo Chamchana said: Tifauti yake inaletwa na nini, mbegu au mazingira tu? Msaada tafadhari... Click to expand... Grade ya Arusha iko tofaut na mikoa nyingine nafkir inachangiwa na Hali ya hewa
ceekay JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 413 Reaction score 156 Oct 25, 2017 #25 Babati pia kuna mbaazi, tena hizo grade 1 unazosema. Kama utahitaji nitafute inbox
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Oct 25, 2017 #26 ceekay said: Babati pia kuna mbaazi, tena hizo grade 1 unazosema. Kama utahitaji nitafute inbox Click to expand... Mtu kishatoa namba kama una mzigo mnyanyulie waya ufanye biashara, tena unaanza kumuita boss inbox teh
ceekay said: Babati pia kuna mbaazi, tena hizo grade 1 unazosema. Kama utahitaji nitafute inbox Click to expand... Mtu kishatoa namba kama una mzigo mnyanyulie waya ufanye biashara, tena unaanza kumuita boss inbox teh