Nahitaji mayai kwa bei ya jumla

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Yoyote anayejua wapi naweza kupata mayai kwa bei ya jumla anielekeze. 0779420000
 
Upo wapi na unahitaji Ya kisasa au kienyeji na Kwa bei gani?
 
Upo wapi na unahitaji Ya kisasa au kienyeji na Kwa bei gani?

Nipo temeke dar. Nahitaji ya kisasa. Najitaji kwaajili ya biashara,kwHiyo idadi itategemeana na wateja. Ila natarajia kuuza 10trys kwa siku nitaanza na trey100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…