Habarini wanajamii... Naomba kwa anaefahamu mawasiliano ya kampuni ya Interchick Tanzania.. Zaidi ya email yao na namba ya simu ya TTCL..nimejaribu kutumia mawasiliano hayo hayana majibu... . Naamini humu naweza kupata mawasiliano sahihi... Asanteni
Sidhani kama watajisumbua kukutafuta! Wale jamaa wana wateja wengi wanaogombania kuku wao! Yani ukienda saa kumi na mbili huwezi pata vifaranga. Wote wanakuwa washachukuliwa. Sasa wewe endelea kubaki huko huko mkoani huku ukiwatafuta kwa simu!