mzungu jw JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 290 Reaction score 33 Jun 13, 2015 #1 Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha
Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 222 Jun 13, 2015 #2 mzungu pori said: Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha Click to expand... Me ninayo machine ya maxi malipo nipigie namba 0719-808849 na pia nauza line ya uwakala ya Mpesa
mzungu pori said: Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha Click to expand... Me ninayo machine ya maxi malipo nipigie namba 0719-808849 na pia nauza line ya uwakala ya Mpesa
A Amoflo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2014 Posts 207 Reaction score 13 Dec 30, 2015 #3 Ninayo mashine ya Maximalipo Kama unahitaji nitakuuzia kwani kwasasa nabadilisha Biashara. Nicheck kwenye Whatsapp yangu 0778080031
Ninayo mashine ya Maximalipo Kama unahitaji nitakuuzia kwani kwasasa nabadilisha Biashara. Nicheck kwenye Whatsapp yangu 0778080031
Hamiyungu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 598 Reaction score 776 Jan 1, 2016 #4 Kuna mwakilishi wa Maxmalipo arusha anapatikana ofisi ya vodacom hii inayopakana na zantel au sanya 4 bureau opposite na twiga bank bara bara ya uhuru.
Kuna mwakilishi wa Maxmalipo arusha anapatikana ofisi ya vodacom hii inayopakana na zantel au sanya 4 bureau opposite na twiga bank bara bara ya uhuru.