Kichwa cha uzi chahusika.Nahitaji laptop mpya kwa matumizi ya shule.Specs zake ziwe angalau hizi au zaidi
Processor kuanzia 2.0
Hdd kuanzia 500GB na kuendelea
Ram kuanzia 2GB na kuendelea
Uwezo mzuri wa kutunza charge.
White au milk coloured itakuwa nzuri zaidi.
Bajeti yangu ni 500,000(haiongezeki nimeikurupua kwenye boom)
Naombeni kama kuna mwenye anayo imemeet hivyo vigezo au anajua wapi naweza kupata,au hata aina za pc zinazokidhi hapo anijuze nianze kutafuta..Ninatanguliza shukurani.
View attachment 118578 wasiliana na hao jamaa. Wanazo mashine za ukweli sana
nna tatizo kama lako.. pliz mwenye mo info duka zinauzwa kwa dsm.. natanguliza shukrani
Kichwa cha uzi chahusika.Nahitaji laptop mpya kwa matumizi ya shule.Specs zake ziwe angalau hizi au zaidi
Processor kuanzia 2.0
Hdd kuanzia 500GB na kuendelea
Ram kuanzia 2GB na kuendelea
Uwezo mzuri wa kutunza charge.
White au milk coloured itakuwa nzuri zaidi.
Bajeti yangu ni 500,000(haiongezeki nimeikurupua kwenye boom)
Naombeni kama kuna mwenye anayo imemeet hivyo vigezo au anajua wapi naweza kupata,au hata aina za pc zinazokidhi hapo anijuze nianze kutafuta..Ninatanguliza shukurani.
Kuna Dell Inspiron 14R(with touch screen) imetumika kwa miezi 6 inakwenda Laki 5 warranty miezi 10.Ni PM ukiwa interested.
Nenda Kisutu (zamani stendi ya mabasi) uliza Maisha Computers wanazo kibao na bei ni affordable, chaguo ni lako.
Au Nenda kwenye ukurasa wao wa Facebook utakuwa na uwezo zaidi wa kuchagua.
Mkuu, nina wasiwasi sana na Ubora wa bidhaa zao kuendana na bei zao wanazoonesha. Umewaza hilo?
mswahili mpk umbamize libei abishebishe kupunguziwa ndo ajisikie raha. laptop siku izi sio ghali namna hiyo. sema wanaozileta huku wanawabamizaje msiojua... kweli kukosa maarifa taabu kwelikwwli