whatsapp online
Member
- Jan 17, 2017
- 86
- 95
Sipo Dar kwasasa mkuuKama upo Dar Nenda pale Biafra ni tawi la Open university mkoa wa Dar es salaam, utapata maelezo kwa kina.
Wee uko sehemu gani? Tanzania
Uko pnd zp,Sipo Dar kwasasa mkuu
Nipo nachingwea kwa sasa ila root zangu nyingine huwa za MASASI MTWARAUko pnd zp,
Open wana branches mikoani pia.
poa mkuu nipo PM nakusubirNitafute nikupe maelezo.
Nipo nachingwea kwa sasa ila root zangu nyingine huwa za MASASI MTWARA
Nenda Mtwara Open university, kama GPA 3.0 and above unaweza kusoma, kama haijafika Basi kuna mtihani wa RPL ambao bado utaratibu ila unafanyiwa kazi ila wenye vigezo vidogo waingie, au naweza sema kwa mtihani wa RPL hata std 7 anaweza soma digrii.Nitafute nikupe maelezo.
poa mkuu nipo PM nakusubir
LINDI WANAYO OFISI-Karibu na Ofisi za Manispaa Unaweza kufika Kwa ufafanuzi zaidi.Nipo nachingwea kwa sasa ila root zangu nyingine huwa za MASASI MTWARA
hivi foundation bado wanatoa maana kuna dogo aisee anamaliza ugali tuu hapa Bora nimpelekeLINDI WANAYO OFISI-Karibu na Ofisi za Manispaa Unaweza kufika Kwa ufafanuzi zaidi.