Kuna sehemu nilisoma kuwa mwanaume anayeeleza ukweli wote basi hakupendi...huenda hii ni kwa kaka zetu hapa Bongo. Binafsi napenda kuelezwa kweli tu niamue mwenyewe kusuka au kunyoa.
Kuna sehemu nilisoma kuwa mwanaume anayeeleza ukweli wote basi hakupendi...huenda hii ni kwa kaka zetu hapa Bongo. Binafsi napenda kuelezwa kweli tu niamue mwenyewe kusuka au kunyoa.
Kwanza inategemea na uongo...sio kila kitu utanganya eg wewe ushatembea na wanawake kumi sidhani kama utakuwa tayar kumweleza new gal wako utadanganya na kusema 3...... also kuwezi kumdanganya gal wako kuwa wewe una pesa nying while unaoneka siyo huna kitu...
Uongo unahitaj kumbukumbu na ujanja kama huwez kuwa mkwel.