C calvinminja Member Joined Feb 15, 2018 Posts 25 Reaction score 16 Feb 24, 2018 #1 Hivi haya majina yanayotumiwa na watu hapa Jamii foroums ni majina halisi au ni yakusadikika? Tujuzane tu wanandugu na sababu ya kutumia majina hayo.
Hivi haya majina yanayotumiwa na watu hapa Jamii foroums ni majina halisi au ni yakusadikika? Tujuzane tu wanandugu na sababu ya kutumia majina hayo.
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Feb 24, 2018 #2 Mmmmh....hivi Bado tu hamjaanza shule?
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Feb 24, 2018 #3 Wenzio wote wanatumia anonymity labda uwe verified user. Hilo lako limekaa kama lako halisi badili mapemaa usije fwatwa na wasiojulikana
Wenzio wote wanatumia anonymity labda uwe verified user. Hilo lako limekaa kama lako halisi badili mapemaa usije fwatwa na wasiojulikana
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,687 Feb 24, 2018 #4 calvinminja said: Hivi haya majina yanayotumiwa na watu hapa Jamii foroums ni majina halisi au ni yakusadikika? Tujuzane tu wanandugu na sababu ya kutumia majina hayo. Click to expand... Mkuu ni hatari sana kutumia jina halisi
calvinminja said: Hivi haya majina yanayotumiwa na watu hapa Jamii foroums ni majina halisi au ni yakusadikika? Tujuzane tu wanandugu na sababu ya kutumia majina hayo. Click to expand... Mkuu ni hatari sana kutumia jina halisi
C calvinminja Member Joined Feb 15, 2018 Posts 25 Reaction score 16 Feb 24, 2018 Thread starter #5 Agustino87 said: Mkuu ni hatari sana kutumia jina halisi Click to expand... sikujua naona ulimbukeni unaniaumbua alf kila jina humu ni la kipekee ndicho kilichonisanua. Acha na mimi nijiite mdau wa jamii foroum
Agustino87 said: Mkuu ni hatari sana kutumia jina halisi Click to expand... sikujua naona ulimbukeni unaniaumbua alf kila jina humu ni la kipekee ndicho kilichonisanua. Acha na mimi nijiite mdau wa jamii foroum
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,750 Reaction score 91,838 Feb 25, 2018 #6 gfsonwin said: Wenzio wote wanatumia anonymity labda uwe verified user. Hilo lako limekaa kama lako halisi badili mapemaa usije fwatwa na wasiojulikana Click to expand... Asante namm nitabadili langu .
gfsonwin said: Wenzio wote wanatumia anonymity labda uwe verified user. Hilo lako limekaa kama lako halisi badili mapemaa usije fwatwa na wasiojulikana Click to expand... Asante namm nitabadili langu .