Nahitaji kujua bei ya hii gari.........

naomba kujua bei ya HILUX SURF used na brand new.
nitashukuru.

Kwa nini unapendelea Surf?
Mpya kabisa andaa kuanzia 80M (themanini milioni), used inategemea na hali; iliyotumika bongo 5-10M, ambayo haijatumika bongo 15M, sema unataka ipi mkuu tukuletee mpaka mlangoni kwa bei nzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…