Mkuu mimi ninacho Goba njia nne kama unelekea madale km 3 kutoka hapo round about
Mita 25 kwa mita 25 ila inabidi bajeti yako ijivute kidogo japo ufike 12.5m
Kama uko tayari kwa ajili ya kuona na maongezi mengine wasiliana nami kwa
Habari!
Kiwanja kipo Madale Mbopo, Km 12 Kutoka round about ya madale (Kwa gari ni mwendo wa Dk 20 tu) kwa budget yako utapat kiwanja chenye ukubwa wa 22x30 yani sq meter 660. Kiwanja hakijapimwa bado lakini tayari mchakato wa kupima umeshakuwa initiated.
Nipigie kwenye 0737446225
Sikiliza Mkuu! Viwanja vyote ukisikia eti vimepimwa vina hati ni uongo. Hiyo hati ni hati ya mauziano utakayotumia wewe utambulike na majirani, serikali ya mtaa then ukitaka kupima ndio uthibitisho ya jinsi ulivyokipata. Kiwanja kilichopimwa chenye title deedy ni ngumu mchakato wa kubadilisha jina na bei ni kubwa
Viwanja ninavyosema ni vya watu wenye maeneo yao wanaviplan vizuri wanavikata na kuweka barabara za mitaa na kuuziana kwa kutumia HATI ya Mauziano ambayo baadaye utalipa 30,000 kwenye serikali ya kitongoji ili utambilike. Wote ndivyo tulivyonunua viwanja na kujenga na wengine kuprocess hati.
Sikiliza Mkuu! Viwanja vyote ukisikia eti vimepimwa vina hati ni uongo. Hiyo hati ni hati ya mauziano utakayotumia wewe utambulike na majirani, serikali ya mtaa then ukitaka kupima ndio uthibitisho ya jinsi ulivyokipata. Kiwanja kilichopimwa chenye title deedy ni ngumu mchakato wa kubadilisha jina na bei ni kubwa
Kiluvya makurunge 5 to 7km ukubwa 20 x 20 mil. 3. Zaidi ya hapo unaongeza kidogo. Kama 25 x 25/30x30, n.k. Maji, umeme, zahanati, na huduma zote kama shule sekondari zipo. Njooo Pm