Habari wanajamii!
Somo tajwa hapo juu la husika, nilikua nimeweka pesa yangu benki (2mil) nikagundua si vyema, nibora niiweke kwenye ardhi.
Sasa kama kuna mtu anaweza kuniuzia aridhi kwa bei hiyo pengine na pungufu ya hapo(ntaipa kipaumbele yenye bei chini) ukubwa wa kiwanja 25*30 or25*25 na zaidi hata ikifika ekari moja poa, anishtue.
Maeneo nayo yapendelea ni kigamboni tu, not more than that.
Pia isiwe mbaali na maeneo ya road kwa maana ya uraisi wa usafiri..
Pasizidi km 15 kutoka kwenye kivuko.
Pakiwa na huduma zoote muhimu hata kama si zote ntanunua siku yakwanza nitakapo paona.
Kwa maelezo zaidi njoo pm au 0758009876.
NB:HATUA ZOOTE ZA MAUZIANO ZITAFUATWA ILI KUEPUSHA LONGO LONGO.
Nina maeneo mengi kigamboni ila kwa bei hiyo Mkuu ikitokea mtu anasema anakuuzia jua anakuibia mkuu kwa kigamboni bei hiyo hupati mkuu nisikudanganye milioni mbili hupati
Sipati au wewe huuzi bei hiyo!?
Hapo kuna mambo 2 na hayafanani!
Any way mi mwenyewe naelewa kinachoendelea kwenye issue za viwanja, so usiwe na wasiwasi kuhusu mimi kuzulumiwa...
Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wa kijamaa!
Nina maeneo mengi kigamboni ila kwa bei hiyo Mkuu ikitokea mtu anasema anakuuzia jua anakuibia mkuu kwa kigamboni bei hiyo hupati mkuu nisikudanganye milioni mbili hupati
Habari wanajamii!
Somo tajwa hapo juu la husika, nilikua nimeweka pesa yangu benki (2mil) nikagundua si vyema, nibora niiweke kwenye ardhi.
Sasa kama kuna mtu anaweza kuniuzia aridhi kwa bei hiyo pengine na pungufu ya hapo(ntaipa kipaumbele yenye bei chini) ukubwa wa kiwanja 25*30 or25*25 na zaidi hata ikifika ekari moja poa, anishtue.
Maeneo nayo yapendelea ni kigamboni tu, not more than that.
Pia isiwe mbaali na maeneo ya road kwa maana ya uraisi wa usafiri..
Pasizidi km 15 kutoka kwenye kivuko.
Pakiwa na huduma zoote muhimu hata kama si zote ntanunua siku yakwanza nitakapo paona.
Kwa maelezo zaidi njoo pm au 0758009876.
NB:HATUA ZOOTE ZA MAUZIANO ZITAFUATWA ILI KUEPUSHA LONGO LONGO.
Fanya hivi,
Leta 3.5mil nakupa kiwanja Mwikwambe -Fun City, 18km from ferry na ukitumia njia ya Nyuma Chuo cha Mwl. Nyerere ni 15km. Ukubwa 311Sqm na ni unsurveyed.
Sio hicho,Sio kile kilicho mkabala na ukuta wa fun city?
Pia sqm 311 ni kidogo ajabu! Bora mara 100 kiwe na 400 sqm