leon slim JF-Expert Member Joined Sep 19, 2014 Posts 261 Reaction score 618 Mar 10, 2017 #1 Nahitaji kitanda cha futi 5 kwa 6,bajeti ni tshs100,000.Niko singida,mwenye nacho ni pm tufanye biashara.
Nahitaji kitanda cha futi 5 kwa 6,bajeti ni tshs100,000.Niko singida,mwenye nacho ni pm tufanye biashara.
NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,665 Mar 10, 2017 #2 Singida na igunga au nzega hata mpaka Tabora kuna vitanda na milango tena kwa mbao mninga,mtondoo na mlingoti Ushauri Ni vyema ukajaribu kupata hiko kitanda kutoka maeneo hayo.
Singida na igunga au nzega hata mpaka Tabora kuna vitanda na milango tena kwa mbao mninga,mtondoo na mlingoti Ushauri Ni vyema ukajaribu kupata hiko kitanda kutoka maeneo hayo.
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 604 Mar 11, 2017 #3 Bajeti yako kwa bidhaa hiyo ni reasonable kabisa. Ungekuwa mjini ungekipata ndani ya dakika bashite.
leon slim JF-Expert Member Joined Sep 19, 2014 Posts 261 Reaction score 618 Mar 11, 2017 Thread starter #4 Poa poa mkuu