Ahsante, bado nachukua maoni na hitaji liko bado!!!Kwa ofa hio brand new kabisa sealed hupat utapata mpya isiyo sealed
Elezea kidogo refubshed iko vip ani....?Utapewa refubshed mzee baba ni original but refubshed sijui kama una hii knowlegde
Elezea kidogo refubshed iko vip ani....?
post using my macbook air using jamiiforums app
Duh! Lakin zinakuwaga na performance nzuri kama mpya yani,uongo..?Kwenye masoko yetu ya africa watu weng wanapenda vitu vzr lakn kwa bei nafuu sasa kuna zile sim zinazopata default au used makampun ya kichina huyanunua na kuyatengeneza na kuweka housing mpya yanaonekana kama mapyaaa but nt brand new
Refurbished kwa maoni yangu sio nzuri kununua mara nyingi huwa hazidumu sana, Mfano nishawahi kununua Beat by Dre ilikuwa refurbished baada ya wiki moja tu sikio moja likazima na wiki iliofuata ilikufa yote. Pia niliwahi kununua Sol republic headphone refurbished ndio kwanza naitoa kwenye box speaker moja haifanyi kazi. Na huwezi kujua kama hii ni refurbished mpaka muuzaji akwambie mwenyewe.Duh! Lakin zinakuwaga na performance nzuri kama mpya yani,uongo..?
post using my macbook air using jamiiforums app