unataka za wizi? watu wanaomiliki androids wote wako makini na simu zao, hutasikia kaibiwa maana ile ndio laptop yake,simu yake,printer yake n.k, nenda kariakoo kanunue Tecno za wizi kibao hata 25,000 unapata.
mzee iyo kitu dukani ni laki sita na sijui kama kuna za wizi lakini si ungeenda dukani!!!Hi wakuu. Ebwana inahitajika iPhone 4s black 64gb.
hivi iPhone na wenyewe wameanza kutoa android siku hizi?
Ndio wametoa! Mimi binafsi ninayo iphone 5c mfumo wa android! Nzuri sana
:A S-eek::A S-eek::A S-eek:....! umenunuabei gani mkuu?
Nimenunua $900 halafu sorry sio iphone 5c ni 5s
Holly Lord!...UMESHAIBIWA!
Simu za iPhone zinatengenezwa na kampuni ya Marekani iitwayo Apple Inc. Simu na Tablets (iPad) za Apple zinatumia Operating System MOJA TU, nayo ni iOS, hakuna kifaa chochote cha Apple kinachotumia Android, hivyo nasikitika kukwambia kwamba umeibiwa, umeuziwa simu fake kwa bei ya original, kama ulinunua dukani na receipt unayo fanya ustaarabu wa kuwashtaki matapeli wakubwa hao.
Aaah haya ila mwanzo nami nilihisi ishu hy lkn baadae niliconfirm nao jamaa wa iphone kwn ili iweze kuoperate vzr lazima uwe na akaunt yao ambayo imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu kwa mambo mengi sana! Vlvl cm hz tofaut sn na cm km samsung nk kwn hata tatizo llt likitokea lzm uwe na direct contacts/ akaunt ambazo utaweza kuwasiliana nao direct USA.
then you are not using android, you are using iOS ni kwamba tu haufahamu!
cc: C6 chief-mkwawa RRONDO msaidieni kumfafanulie kidogo mzee wetu hapa.
Atuwekee tu screen shot tutajua
Hahaha vijana wa mjini hawafai kabisaa.word! inawezekana anatumia ios lakini hajui, yeye anajua kila simu "kali" ni android!
Mzee wangu mmoja naye alilia kipindi kile iPone 4 ndiyo zimetoka, 1.4M CASH, watoto wa mjini wakampa mchina, nilivoishika tu nikamwambia pole mzee umeibiwa, alibisha sana akaniambia niwashe bluetooth kwenye nokia yangu nitaiona simu yake imeandikwa iPhone 4!!!!!!!!!!
kuna mawili hapa , moja jamaa hana uelewa wa tofauti kati ya android na operating system zinginethen you are not using android, you are using iOS ni kwamba tu haufahamu!
cc: C6 chief-mkwawa RRONDO msaidieni kumfafanulie kidogo mzee wetu hapa.
kuna mawili hapa , moja jamaa hana uelewa wa tofauti kati ya android na operating system zingine
au
ameibiwa maana hakuna product ya apple inayobeba alama ya i...... ikatumia android, zote hutumia iOS