Nahitaji hiace

Mkuu umechukua kwa bei hiyo???,wapi huko??,je zina patikana??.

nimechukua kwa 9M, hapahapa tanzania, ndiyo zinapatikana nyingi tu. hiyo hapo juu inapatikana kwa 8M inashuka hadi 7.5, pia nyingine inauzwa 6.3M.
 
Dar na Mwanza, mie nilipenda ya 9M sababu ilikuwa na bodi kama jipya afu namba C na ilikuwa hapahapa mwanza
Ok!!,kumbe upo Mwanza.sasa naomba namba yako ya simu maana mimi nipo Ngara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…