Nizzo Member Joined Nov 20, 2011 Posts 95 Reaction score 37 Apr 15, 2014 #1 wakuu nahitaji hiyo gar...iwe kwenye halio nzuri na isiwe na engine ya D4...iwe kuanzia number b nakuendelea...budget yangu ni 6m...nawakilisha.
wakuu nahitaji hiyo gar...iwe kwenye halio nzuri na isiwe na engine ya D4...iwe kuanzia number b nakuendelea...budget yangu ni 6m...nawakilisha.
Nizzo Member Joined Nov 20, 2011 Posts 95 Reaction score 37 Apr 16, 2014 Thread starter #2 wakuu hakuna mwenye Hui ndinga...
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Apr 16, 2014 #3 nipm tufanye biashara
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 522 Apr 16, 2014 #4 Nizzo said: wakuu nahitaji hiyo gar...iwe kwenye halio nzuri na isiwe na engine ya D4...iwe kuanzia number b nakuendelea...budget yangu ni 6m...nawakilisha. Click to expand... ingia beforward.jp wasiliana nao kama bado yapo uangalie la kuchukua..bei itaongezeka kidogo from mil 6...ila habari ya wese ujiandae kupambano nayo..
Nizzo said: wakuu nahitaji hiyo gar...iwe kwenye halio nzuri na isiwe na engine ya D4...iwe kuanzia number b nakuendelea...budget yangu ni 6m...nawakilisha. Click to expand... ingia beforward.jp wasiliana nao kama bado yapo uangalie la kuchukua..bei itaongezeka kidogo from mil 6...ila habari ya wese ujiandae kupambano nayo..