Nahitaji godoro used 5×6

Jichange ununue godoro jipya. Watu wamepigiana mabao kwenye godoro na wewe unataka kununua. Ukiwa unaanza maisha ya kujitegemea ni vizuri ununue godoro jipya.
Wakati mwingine unajikuta unakaribisha vifungo kwenye maisha yako bila wewe kujua.
 
Nafuu ukanunua mkeka wa kichina na kapet
 
Toa ofa yako! likiwa ktk hali nzuri utafika bei gani 5×6
 
Nadhani ungeondoa neno ‘Timamu’ na kuweka ‘Aliye vizuri kiuchumi’

Sent using Jamii Forums mobile app

Umaskini wa kipato huondoa utimamu wa akili pia, ila kwa hoja mezani neno timamu limekaa mahala pake.... nguo ya ndani mpya na mtumba unakuta mtumba ni ghali na wanunuzi ni “walio vizuri kiuchumi” kwa kisingizio cha eti ubora.
 
Mwaka mpya huu kiongozi saka hela hakuna kulala, unanunua godoro la kazi gani..?
 
mkuu c uende k/ koo utapata hata ronyaronya la laki moja
 
Yapo used
Lisilo na kunguni ni 120000
Na ambalo lina kunguni 80000

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie aje kwetu Kwesalaka Kilindi huku atapata la bei chee kabisa... pesa yake haitazidi elfu 50 tu lakini lina
1.kunguni kama wote chawa na utitiri pia wamo
2. rangi nyeusi kwajili liliwahi kumwagiwa oil katika harakati za kupambana na wadudu hao
3. vumbi ndo mahala pake kwakuwa linatandikwa chini kila siku
4. Hali ya ugumu na kukakamaa kwa mkojo 'coz huyu dogo Nkurumbiza anamwagilia kitanda kila siku

Vipi Mkuu nikupigie tupangane bei au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu subiri gemu ya simba na yanga jumamosi tarehe 4/1/2020 ambapo uongozi wa yanga utampa mchezaji wao bora Zawadi ya godoro then ulinunue coz naamini hakuna mchezaji mwenye uhitaji wa godoro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…