Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,937 Dec 19, 2017 #1 Wakuu nahitaji moja wapo ya aina ya hizo gari ila ukaguzi nitaufanya mwenyewe na sihitaji dalali na bajeti yangu inaanzia 3.5Mill... only serious seller njooni .. Ukumbusho nahitaji mojawapo wa gari hizo with very pleasant condition
Wakuu nahitaji moja wapo ya aina ya hizo gari ila ukaguzi nitaufanya mwenyewe na sihitaji dalali na bajeti yangu inaanzia 3.5Mill... only serious seller njooni .. Ukumbusho nahitaji mojawapo wa gari hizo with very pleasant condition
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,207 Reaction score 7,364 Dec 19, 2017 #2 We jamaa unaroho ngumu sana, wenzio wenye bajeti mbofumbofu hua details zingine wanasokomeza PM, we umeanika kila kitu hapa....ngoja wakuijie!!
We jamaa unaroho ngumu sana, wenzio wenye bajeti mbofumbofu hua details zingine wanasokomeza PM, we umeanika kila kitu hapa....ngoja wakuijie!!
Microsafi JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 313 Reaction score 66 Dec 19, 2017 #3 Watakuja si muda mrefu
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,937 Dec 19, 2017 Thread starter #4 kilambimkwidu said: We jamaa unaroho ngumu sana, wenzio wenye bajeti mbofumbofu hua details zingine wanasokomeza PM, we umeanika kila kitu hapa....ngoja wakuijie!! Click to expand... hahahahahah eti bajeti mbofu mbofu hahahahah
kilambimkwidu said: We jamaa unaroho ngumu sana, wenzio wenye bajeti mbofumbofu hua details zingine wanasokomeza PM, we umeanika kila kitu hapa....ngoja wakuijie!! Click to expand... hahahahahah eti bajeti mbofu mbofu hahahahah