Nahitaji gari isiyozidi milioni 5

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Habari,ninahitaji gari yoyote ambayo iko kwenye hali nzuri na bei yako ya kuuzia isiwe zaidi ya milioni 5(hata ikiwa chini ya hapo c mbaya). Gari isiwe saloon. Nitafute kwa 0763969066. Waweza nitumia picha kupitia whatsapp kwa namba hiyohiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…