Watu wanakuuzia Mark 2 balloon yenye namba A ikiwa na 50k mileage.
Anadhani odometer reading ndio upya wa gari.
Nilishawahi kagua gari siku mbili tofauti. Siku ya kwanza nilienda mwenyewe odometer ilikuwa inasoma Laki 2 na kitu.
Siku ya pili nilipoenda na muhusika anaetaka gari hiyo hiyo ngoma inasoma laki 1.