nakushaur utafute camry cc 2000 vvtiKwa yeyote anayeuza gari aina ya Crown Royal salon, usajili si chini ya DJ, Bei isiyozidi 10M kama unalo au unamjua aliyenalo tuzungumze DM.
Asante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kuna uzi wa magari mazuri humu?Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Crown Royal salon, usajili si chini ya DJ, Bei isiyozidi 10M kama unalo au unamjua aliyenalo tuzungumze DM.
Asante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm nikuunganishe kwa anayeuzaKwa yeyote anayeuza gari aina ya Crown Royal salon, usajili si chini ya DJ, Bei isiyozidi 10M kama unalo au unamjua aliyenalo tuzungumze DM.
Asante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua kitu roho inapenda.
Nazijua hata mie namiliki mkuuGari nzuri ile huwezi fanananisha na passo, ukute imesikia tu kwa watu