Arone Ramsey Senior Member Joined Nov 5, 2021 Posts 170 Reaction score 293 Jan 2, 2022 #1 Yaaani tangu ninue dish la Dstv haipiti miezi mitatu chanel zinakata kata natafuta fundi anagusa gusa akiondoka ikikaa baada ya mda linazingua tena!! sasa nimechoka kutoa hela kila siku nimeliacha lina kama mwezi natafuta fundi muaminifu atakaeweza ku reset vizuri niko Dar Temeke Uzi tayari
Yaaani tangu ninue dish la Dstv haipiti miezi mitatu chanel zinakata kata natafuta fundi anagusa gusa akiondoka ikikaa baada ya mda linazingua tena!! sasa nimechoka kutoa hela kila siku nimeliacha lina kama mwezi natafuta fundi muaminifu atakaeweza ku reset vizuri niko Dar Temeke Uzi tayari
Nigger360 JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 436 Reaction score 1,068 Jan 2, 2022 #2 Hata mm pia naona uzi tayari mkuu, Kwann usiwapigie wakuagizie fundi kutoka matawi yao naiman temeke hawakosi tawi ,namba zao chukua hata Instar
Hata mm pia naona uzi tayari mkuu, Kwann usiwapigie wakuagizie fundi kutoka matawi yao naiman temeke hawakosi tawi ,namba zao chukua hata Instar
poppah JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 630 Reaction score 548 Jan 5, 2022 #3 Wasiliana nami 0764 453848