Cogito ergo_sum
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,641
- 2,913
kuna friza ndogo used ya Dubai, bei 350,000Habari wakuu
Nahitaji fridge ndogo used iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo anicheki PM tuzungumze.
Niko songea .
DarUko wapi?
Ipige picha, pande zote na ndani usisahauFridge ndogo ya milango miwili ipo.haina tatizo lolote,mlango wa juu inagandisha vizuri na chini inapooza vizuri.
bei 300k.
ipo mbezi ya kimara
Picha mkuukuna friza ndogo used ya Dubai, bei 350,000
Picha sina, siuzi Mimi,, kuna kaka ndo anayauza toka ZanzibarPicha mkuu
Anayo ya vioo yale ya kuuzia vinywaji dukani?Picha sina, siuzi Mimi,, kuna kaka ndo anayauza toka Zanzibar
labda nimuulizeAnayo ya vioo yale ya kuuzia vinywaji dukani?
mkuu naomba nitumie pichaNina fridge dogo brand ya Boss linagandisha vizuri sana linafaa sana kwa matumizi ya nyumbani na dukani/mgahawani,bei sh 50,000 lina shida moja tuu halina mlango