Nahitaji External HDD 500GB

Mwanagandila

Senior Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
182
Reaction score
100
Nahitaji external HDD 500GB ya kununua nikipata Transcend itakua mzuka zaidi
 
nina 1tb ya samsung ni pm tufanye biashara sasa hivi
 

[TD="class: cell02"]Mi niko na hii brand new with two years guarantee imported nipe kilo 4.8 inakuwa yako
External harddisk[/TD]

[TD="class: cell01"]Modelname[/TD]
[TD="class: cell02"]western Digital[/TD]

[TD="class: cell01"]Produktserie[/TD]
[TD="class: cell02"]My Passport Essential[/TD]
Generelle specifikationer

[TD="class: cell01"]Interface[/TD]
[TD="class: cell02"]USB 2.0, USB 3.0[/TD]

[TD="class: cell01"]capacity (GB)[/TD]
[TD="class: cell02"]500[/TD]

[TD="class: cell01"]Software[/TD]
[TD="class: cell02"]WD SmartWare software [/TD]

[TD="class: cell01"][/TD]
[TD="class: cell02"][/TD]
 

Du hiyo GB 500 kwa kilo 4.8 ina Ac nini?
 
 
Lazima itakuwa unazungumzia zile zetu za asili kaka kutoka kule kwa wanadamu wenzetu wa macho mafupi!! ama ziso hizo kaka mfianchi??
 
Ni-PM No ya huyo mtu aliyekuuzia kwa bei hiyo nifanye nae biashara,anauza bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…