Nahitaji digtal Camera.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,143
Reaction score
2,547
Kama heading inavyosema, nahitaji camera aina ya Nikon au Olympus. Iwe na hali nzuri (iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri, iwe na megapixel 12 na kuendelea. Kama unayo ni PM.
 
we ni she au he??? kama ni she nitakufanyia discount karibia na bure!!
 
hakuna utani hapa mkuu...ni camera aina ya nikon megapixel 12...ila sharti lazima uwe she ndio tufanye biashara mkuu.
 
Kama heading inavyosema, nahitaji camera aina ya Nikon au Olympus. Iwe na hali nzuri (iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri, iwe na megapixel 12 na kuendelea. Kama unayo ni PM.

Kuna 14.2mp hapa ni used...tsh.140,000/= tu....ni nikon......PM me your number
 
Kama heading inavyosema, nahitaji camera aina ya Nikon au Olympus. Iwe na hali nzuri (iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri, iwe na megapixel 12 na kuendelea. Kama unayo ni PM.

Ipo nikon D32100 bei 750000.00 call 0712652110
 
Olympus 2m/6.6ft shockproof. 10m/33ft waterproof,nahitaji 1,100,000
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…