Nahitaji computer kwa haraka sana

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
2,179
Reaction score
3,522
Mwenye computer anayeuza au kama unamfahamu mtu anauza , tafadhali naomba nijulishe.

Iwe na RAM 4GB na kuendelea.

HDD 350 na core i5.

Budget yangu ni 350000 Cash.
 
Mwenye computer anayeuza au kama unamfahamu mtu anauza , tafadhali naomba nijulishe.

Iwe na RAM 4GB na kuendelea.

HDD 350 na core i5.

Budget yangu ni 350000 Cash.
Ninayo yenye 4gb,500gb core i5 ya hp Bei yangu ya mwisho 400k.kama unahitaji nicheck 0712842283 ipo dar
 
Mwenye computer anayeuza au kama unamfahamu mtu anauza , tafadhali naomba nijulishe.

Iwe na RAM 4GB na kuendelea.

HDD 350 na core i5.

Budget yangu ni 350000 Cash.
Ukihitaji desk top nicheki Gb 500 ram 4 gb
 
Bila shaka wanasomea masomo ya sayansi,na mwaka huu bila shaka wanahitimu,na naskia mwez huu wa pili wana mtihani wa kitaifa,
Hivi nao wakimaliza watasubili ajira kama wengine? au wao wataunganishwa kazini kwakua ni special program?
Itabid nao wasubir Kama tunavyosubir wengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…