tunage JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 252 Reaction score 168 Oct 24, 2016 #1 habari wadau,nahitaji mtu yeyote mwenye chumba chakupangisha kuanzia maeneo ya ubungo stand ya mkoa mpaka big brother kikiwa mabibo ni vizuri sana...bei kuanzia shilling 40 - 50 naomba ni PM MADALALI HAPANA
habari wadau,nahitaji mtu yeyote mwenye chumba chakupangisha kuanzia maeneo ya ubungo stand ya mkoa mpaka big brother kikiwa mabibo ni vizuri sana...bei kuanzia shilling 40 - 50 naomba ni PM MADALALI HAPANA
Stanboy JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,115 Reaction score 1,324 Oct 26, 2016 #2 Ukipata vingi,nijulishe na mimi nahitaji kimoja cha vijana wangu... Asante