Nahitaji chumba cha kupanga Dar

66KV

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,453
Reaction score
2,810
Habari za muda wakuu,

Mimi ndugu yenu niko mjini hapa Dar es Salaam kwa shughuli itakayoniweka mwezi mmoja na kidogo, ili kurahisisha suala zima la sehemu ya kulala nimeona nitafute chumba ambacho nitakilipia miezi 2 tu.

Hivyo naomba kwa yeyote aliye na chumba cha kupangisha na atakubali kodi ya hiyo miezi miwili maeneo ya Ubungo anifahamishe hapa nitamfuata inbox kuzungumza naye. Bajeti yangu ni sh elfu 50 kwa mwezi.

Asanteni

Niwatakie kazi njema waheshimiwa sana
 
Mzee mwenzangu njoo ufikie kwangu kuna kila kitu hyo 100k utanipatiakama mchango wa meza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…