R RUSESABAGINA Member Oct 12, 2010 19 0 Dec 3, 2010 #1 Mwenye blackberry bold 9700 mpya bei TZS 500,000 ani pm.Nipo Dar es salaam
Watu JF-Expert Member May 12, 2008 3,231 1,470 Dec 3, 2010 #2 RUSESABAGINA said: Mwenye blackberry bold 9700 mpya bei TZS 500,000 ani pm.Nipo Dar es salaam Click to expand... BlackBerry Bold II 9700
RUSESABAGINA said: Mwenye blackberry bold 9700 mpya bei TZS 500,000 ani pm.Nipo Dar es salaam Click to expand... BlackBerry Bold II 9700
Brooklyn JF-Expert Member Mar 17, 2009 1,459 284 Dec 3, 2010 #3 Du mkuu nahisi kama bei yako ni ndogo kidogo kwa aina ya simu unayohitaji!!
P pacificamarine Member Dec 1, 2010 68 4 Dec 3, 2010 #4 Simu hiyo kwa Tshs 500,00.00 haiwezekani. Tunaweza kukutafutia hapa US au UK kwa US$ 550.00 shipping to Dar included kama hii hapa:- NEW UNLOCKED Blackberry Bold 9700 2 WiFi AT&T PDA GSM. Tuandikie: pacificamarine@yahoo.com tuzungumze namna ya kuipata.
Simu hiyo kwa Tshs 500,00.00 haiwezekani. Tunaweza kukutafutia hapa US au UK kwa US$ 550.00 shipping to Dar included kama hii hapa:- NEW UNLOCKED Blackberry Bold 9700 2 WiFi AT&T PDA GSM. Tuandikie: pacificamarine@yahoo.com tuzungumze namna ya kuipata.
R RUSESABAGINA Member Oct 12, 2010 19 0 Dec 3, 2010 Thread starter #5 Tayari nimeipata kwa mdau wa JF and the deal is closed.Thanx JF
Vitendo JF-Expert Member Oct 23, 2009 582 103 Dec 4, 2010 #6 RUSESABAGINA said: Tayari nimeipata kwa mdau wa JF and the deal is closed.Thanx JF Click to expand... Hata kama umeipata ila bei sio hiyo Tshs 500,000/=
RUSESABAGINA said: Tayari nimeipata kwa mdau wa JF and the deal is closed.Thanx JF Click to expand... Hata kama umeipata ila bei sio hiyo Tshs 500,000/=
Shaycas JF-Expert Member Feb 13, 2009 906 110 Dec 4, 2010 #7 Nami nahitaji Nokia N8 Kwa Tsh 550,000/=. mwenye nayo naomba tuwasiliane.
Chelenje JF-Expert Member Oct 18, 2010 552 22 Dec 4, 2010 #8 Jamani mwenye iphone 4 please tuwasiliane !
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,578 8,600 Dec 4, 2010 #9 Hizo zote mnazozitaka zinapatikana sapna huu siyo wakati wakununua simu mkononi jama!unataka status kwa vishoka??wa samora wewe unayeta bbry bold ni pm kwa kunipa no yako.
Hizo zote mnazozitaka zinapatikana sapna huu siyo wakati wakununua simu mkononi jama!unataka status kwa vishoka??wa samora wewe unayeta bbry bold ni pm kwa kunipa no yako.
Vitendo JF-Expert Member Oct 23, 2009 582 103 Dec 4, 2010 #10 Shaycas said: Nami nahitaji Nokia N8 Kwa Tsh 550,000/=. mwenye nayo naomba tuwasiliane. Click to expand... Tshs 900,000/= nitakuuzia.
Shaycas said: Nami nahitaji Nokia N8 Kwa Tsh 550,000/=. mwenye nayo naomba tuwasiliane. Click to expand... Tshs 900,000/= nitakuuzia.
P pacificamarine Member Dec 1, 2010 68 4 Dec 5, 2010 #11 sisi Pacifica tunaweza kukuuzia original phone kama hii hapa kwa $ 620.00, Made in Finland. Nokia N8 Unlocked GSM Touchscreen,GPS & 12MP camera NEW
sisi Pacifica tunaweza kukuuzia original phone kama hii hapa kwa $ 620.00, Made in Finland. Nokia N8 Unlocked GSM Touchscreen,GPS & 12MP camera NEW