Hauko peke yako broo usife moyo, nisha acha kusali kisa nimekosa msichana wa kuoa, kila demu unaye muibukia anakukataria wewe fikiria wasichana wengine wanawabembeleza masela angalau wawape mimba tu basi harafu wewe unasota kwa kubembeleza upate wa kuishi naye, hivi inaima kiasi gani,
Ilifika pahara nikaitupa imani yangu maswala ya ibada nikaacha kabisa but nikaona huu ni ujinga why nisirudi kanisani kuna wenye matatizo zaidi yangu lakini hawajamuacha mungu sembuse mimi, Usikate tamaa hauko pekw yako, mimi mpaka sasa naendelea kukomaa nipate msichana wa kuoa.
USIJE UKAKATA TAMAAA KIZEMBE, MWANAUME HAKUZALIWA KUSHINDWA.