falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,223
- 9,345
Uposawa maana jamaa ukiitaji gari kutoka Dar-Mombasa mtafuteMimi nilidhani wewe ni condacta wa basi za falcon
kumbe yuwaja serious???? usijali we will figure it out brotherWekijana chapa kazi ila hivyo vimanzi kaanavyo mbari nduguyangu utakuja tz una kipisi, halafu vp nilikwambia tar 20 tutakuwa mombasa mbona unanikimbia nduguyangu nataka nikifika hapo nikutafute paletu nimalizapo shughuri pendekezwa, unatarajia lin kuondoka
Uposawa maana jamaa ukiitaji gari kutoka Dar-Mombasa mtafute
Mkuuu vp ileee trip ya congooo umeipotezeaaaa???
Kwajinsi serikali ya kenya inavyo waogopa alshbb nisingelipata vibali vya kuwapo kenya ila wamefanya uchunguzi wao bila ya shaka wamekubari na tar 18 nipo VOI tar 20-23 MOMBASA na mwisho ni tar 24 LAMUWw ni alshabaab hakukimbii anakuhepa
Hehehe sasa itakuwa falcon mombasa kibera nairobi
AU falcon mombasa muthaiga nairobi???
falcon mombasa
Ohoo! sasa unawachokoza wakenyakabsaaa hata akitaka nimvushe boarder namvushe
hadi wastlands huko nina shemej yako mhabesh
Hizo nichuki zako tu, na nibahati mbaya kenya tuliomba siku 14 tumepewa siku 6 pekee tena miji 3tu ungeniona hapo kibera kwenuHehehe ww uaije kenya naona utasababisha vifo toka airport hadi masjid unayoenda ww na FaizaFoxy kaeni TZ tu
kabsaaa hata akitaka nimvushe boarder namvusha