Karibuni wote kwa nafasi za masomo ngazi ya Certificate na Diploma ya Takwimu. Katika CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA- DAR ES SALAAM- CHANGANYIKENI.
Sifa za kujiunga.
.Certificate
- Angalau ufaulu wa D nne
katika kidato cha Nne
Yakiwemo masomo ya
Hisabati na Kiingereza.
.Diploma.
- Awe na Certificate inayojumui
shaMasomo yenye hesabu au
Uhasibu
Inayotambuliwa na NACTE.
au awe na
Angalau ufaulu wa E katika
Kidato cha sita na S Katika
somo la BAM.
Kwa maelezo zaidi fungua website: www.east.ac.tz
Usisite kuuliza swali lolote ili kupata ufafanuzi zaidi.
"Do not compete with any one, do the best to become the best"